habari ya jioni wakuu ..kama madaa inavyojieleza hapo juu..ni kwamba tv yangu ya samsung nikiiwasha in blink sanaa wala haitizamiki nimewapelekea mfundi kazaaa lakini imewashindwa kuitengrneza wengi wao hawana majibu ya uhakika je wakuu mnaweza kunisaidia kujua tatizo nini nashkuru
Sent using
Jamii Forums mobile app