Habari wana JF.
TV ya JVC imebadili lugha kutoka kiingereza kwenda kiarabu. Sijajua chanzo ni nini lakini ninapotumia rimoti lugha inayoonekana kwenye TV ni kiarabu na kwa maana hiyo nashindwa hata kuirudisha kwenye kiingereza kwa sababu kinachoandikwa pale nakuwa sikielewi kabisa.
Msaada tafadhali kwa mwenye kujua nini naweza kufanya ili kurekebisha hilo.