poposindege
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 456
- 175
asante sana mkuu kwa ushauri mzuri,lakini bahati mbaya haina warrant,kwa hiyo wapi naweza pata fundi wa kunirekebishia hilo tatizo?kama una warrant nenda samsung pale town watakurekebishia fasta
inawezekana power supply yake imepata mushkel
nimefanya hivyo mkuu bado bila bila,na sina warrantunaweza kuiacha kwa muda ikiwa out of power(kama dk 30) then washa, kama tatizo bado tumia warrant uliyopewa.
asante sana mkuu kwa ushauri mzuri,lakini bahati mbaya haina warrant,kwa hiyo wapi naweza pata fundi wa kunirekebishia hilo tatizo?