imwagie maji nusu kikombe afu ielekeze kusini magharibi kwa robo saa afu iwashe
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Ielekeze kisarawe
tv yangu panasonic ya chogo (mchina) imezima ghafa wkt naangalia, inawaka ila kioo hakionyeshi! Wkt inazima iliandika maneno haya mekundu 'open Busy'