Nikutakia kila la heri mkuu kwenye utafutaji wako,sina utaalamu na hivyo vitu ila napenda wachakarikaji na wanaojituma na wasiokata tamaa.ndugu [HASHTAG]#sizonje[/HASHTAG] vip kuhusu muda wa matumiz wa projector? nilisikia sijui projector ina masaa
Mazingira ya ukumbi yako vp? Kama ukumbi unaingiza sana mwanga wa jua mida ya mchana projector huwa zinakoma muonekano mzuri. Weka tu tv ya maana kwaushaur wangu
Ni ile taa/bulb ndo ina masaa.ndugu [HASHTAG]#sizonje[/HASHTAG] vip kuhusu muda wa matumiz wa projector? nilisikia sijui projector ina masaa
Kinaonyesha clear? make ishu hapa ni aina nzuri ya projector.Anza na tv 2, halaf kanunue kaprijector kamoja search kanaitwa kinomate km sikosei ngoja nitaangalia jina nilikamiliki miaka ya nyuma kapo kama power bank ila ni projector aisee ni hatari
Ni clear kabisaKinaonyesha clear? make ishu hapa ni aina nzuri ya projector.