Msaada tutani

Msaada tutani

Kacharimbe

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
216
Reaction score
35
Wakuu. Kuna jamaa yangu yupo marekani anakuja wiki ijayo. Nimemwomba aniletee simu 2 amekubali. Tatizo tunalopata ni jinsi ya kumtumia hizo hela maana nimekwenda benki nimtumie kwenye account yake wakahitaji invoice. Naomba mwenye uelewa wa haya mambo anisaidie njia salama ya kutuma hela nje ya nchi. Ni kama $700 kwa simu mbili
Halafu, simu za mitandao ya huko marekani zinafanya kazi vizuri huku bongo? Ikiwa UNLOCKED pekee inatosha?
Karibuni
 
tumia moneygram au western union. Unikumbuke kwenye ufalme wako..tehe tehe tehe
 
Waone Western Union Watakufanikishia mkuu!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom