Msaada tutani

Msaada tutani

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,866
Reaction score
4,261
Wadau kuna haya majina kama halmashauri na manispaa. Huwa nayasikia haya maneno ila sijafahamu kwa uzuri matumizi na mipaka yake kisiasa. Tuelewesheni. Pia neno rasimu, au inawezekana kiswahili kigumu
 
ungeweka kwenye jukwaa la lugha hata mimi ningekusaidia kwani nia rahisi sana ......... lakini kwa kupotea jukwaa............. mmh naogopa ban.....................
 
ungeweka kwenye jukwaa la lugha hata mimi ningekusaidia kwani nia rahisi sana ......... lakini kwa kupotea jukwaa............. mmh naogopa ban.....................
hakuna atakayethubutu. nitamban yeye kwanza. leta nondo

Rasimu = Proposal

shukrani, kijana. nilikuwa sijaingia humu jukwaani kwa kitambo sasa. cheki na hayo mengine
 
Back
Top Bottom