Longtime no see uko wapi mkuuAna hela?
Asante Himidini . Kuolewa na mtu anaekupenda sana na wewe huna feeling nae mmmh ni mateso mara nyingi mtu anaekupenda kila mara anataka awe karibu na wewe na hata kujua uko wapi na unafanya nini, umevaa nini. Hali hii yaweza kuwa kero kwako na hata kuiona ndoa chungu na kujisikia unafuatiliwa sana. Jua kwamba anaependa sana huwa ana wivu si unajua.
mdogo wangu kwanza kabisa mshirikishe Mungu katika hili.
lakini tukirudi kidunia, mtu anayekuenda kwa dhati ni bora zaidi hata kama huna feelings juu yake unaweza kujifunza kumenda na mwisho wa siku ukajikuta umeweza na mkapendana akwa dhati.
ogopa sana kulazimsiha penzi kwa mtu asokupenda, hii itakuja kukugharimu furaha yako yote mbeleni. daima mwanaume akisema nakupenda na akaonyesha anakuoenda basi jua anakupenda kweli na huyu ataweza kukuvumilia kuliko yule ambaye hakupend ukamlazimisha kukupenda abadan hawez kukuvumilia na ataish akiangalia wapi umekosea apate kukusema.
mpende anayekupenda asokupenda achana nae
i got you kungwi wewe.Mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh! Kungwi nimeingia kazini!
Ujue LOVE, HATE, DISGUST, LONELYNESS ARE ALL JUST MERE FEELINGS AND NOTHING MORE BUT FEELINGS! Its just your mind playing tricks with your head and reasoning capacity! Ukiangali kifalsafa hakuna cha zaidi ila self induced happiness and unhapiness!!!!!!!! Hii ni kwa sie philosophers wa ukwee ndo tunalijua hili.
You can only attain SELF ACTUALIZATION only if you leran to reason BEYOND FEELINGS AND EMOTIONS!!!!!!!
So the important thing is not "THE FEELINGS" you are feeling because if you ask me ALL THE FEELINGS IN THE WORLD DONT PUT FOOD ON THE TABLE!!!!!! Plus THEY AINT PERMANENT! They are just whims that pass! Kuna watu i was certain nawapenda could bet my life on them, but that was then, now THEY DISGUST ME! I can puke at just the mention of their names!!!!!! SEE! The important thing is YOUR WELFARE DEAR!!!!!!!!
DONT BET YOUR FUTURE ON FEELINGS THINS LIKE HAPPINESS, LOVE CAUSE THEY CHANGE IN A MINUTE! AND NEITHER IS A PERMANENT THING!!!!!!!!!! See beyond the ILLUSIONS AND CAMOUFLAGE!
daah haya dada asante......!Asante Himidini . Kuolewa na mtu anaekupenda sana na wewe huna feeling nae mmmh ni mateso mara nyingi mtu anaekupenda kila mara anataka awe karibu na wewe na hata kujua uko wapi na unafanya nini, umevaa nini. Hali hii yaweza kuwa kero kwako na hata kuiona ndoa chungu na kujisikia unafuatiliwa sana. Jua kwamba anaependa sana huwa ana wivu si unajua.
Kumbuka huwezi kujifunza kumpenda mtu hasa mwanandoa hilo ni kosa na wengi limewagharimu . Usiempenda ni rahisi kukerwa na mapungufu yake kwani binadamu tuna mapungufu mengi. Shida nyingine ni wewe kumtesa/kumuumiza, hii hutokea sana mtu kutake advantage na kufanya atakavyo kisa anapendwa sana . Kwa mtazamo wangu Muombe Mungu akupe mtu mtakaependana nae kwa dhati, usikate tama Mungu atakupa unaempenda na anaekupenda na kukuheshimu.