Wadau naomba kujuzwa, fastjet kutoka Dar kwenda Mwanza wanasema ni 320000(excluding taxes and charges) hivi wana maana gani? Inamaana kuna kiasi cha fedha ambacho mtu hulipa zaidi ya ile 320000 na kama ndivyo ni shil. ngapi?
Wanamaanisha hiyo bei haina tax. Ukiweka na tax au kodi inakuwa 43,000.00 one way.
Asante sana
Karibu sana mkuu
Tax/Kodi ni asilimia ngapi ya bei ili siku nyingine bei ikiwa 64,000/= tusikuulize tena swali kama hili.
Tax/Kodi ni asilimia ngapi ya bei ili siku nyingine bei ikiwa 64,000/= tusikuulize tena swali kama hili.

Kwa kifupi hizo ni gharama za nyongeza ambazo hazina uhusiano wowote na asilimia ya bei ya ticket. Hayo ndo mapato ya serikali (zipo fixed)Wadau naomba kujuzwa, fastjet kutoka Dar kwenda Mwanza wanasema ni 320000(excluding taxes and charges) hivi wana maana gani? Inamaana kuna kiasi cha fedha ambacho mtu hulipa zaidi ya ile 320000 na kama ndivyo ni shil. ngapi?