Msaada tutani

Msaada tutani

genius crazy

Member
Joined
Oct 21, 2012
Posts
6
Reaction score
1
habari wanaJF,
naomba kusaidiwa chaguo lipi ni sahihi kwa mhitimu wa shahada ya "BSc.BUSINESS INFORMATION SYSTEMS" kutokana na uhitaji wake katika mazingira ya kazi.machaguo ni kama yafuatayo:
1."Business analyst"
2."Database administrator"
3."systems analyst"
4."business consultancy"
unaweza kuweka vitu viwili/vitatu vya kuzingatia ktk pendekezo lako.
Natarajia mawazo mazuri pia unaweza kutoa ushauri nje ya machaguo yangu kikubwa ureflect uhalisia.
 
Hili kukwaa watu wanazunguza jinsi ya Kutengeneza Pesa, hivyo kwa hapa hutaweza kupata maoni mazuri labda upeleke jukwaa la Elimu
 
Back
Top Bottom