Jamani nataka nitume documents original kutoka Tz kwenda Europe.....je ni njia ipi inayoaminika.
Ninavyofahamu DHL inajulikana sana,ila sijui ofisi zao hapa Tanzania especially dar es salaam na Arusha,hata nikiangalia kwenye internet sioni contacts zao.
Naomba msaada wa mawazo kama kuna mwenye uelewa.
Erickb52 mambo mzima wewe DHL INTERNATIONAL (T) LTD. Phone: 027 250 6749. Physical Address: Arusha, Tanzania. Postal Address: PO Box 11373, Arusha...iko karibu na fedha house..sokoine road
Erickb52 mambo mzima wewe DHL INTERNATIONAL (T) LTD. Phone: 027 250 6749. Physical Address: Arusha, Tanzania. Postal Address: PO Box 11373, Arusha...iko karibu na fedha house..sokoine road