Msaada tutani

Msaada tutani

fatherhood

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2021
Posts
538
Reaction score
559
Naomba kufahamu ada ya mechanical engineering, chuo cha NIT (NATIONAL INSTITUTE OF TRANSPORT)

Nimetafuta sana Google kwenye website yao sijaona wakuu.
 
Website yao ya kipumbavu sana, piga simu au nenda physical, Bongo huduma za online bado sana, halafu website lenyewe halina hata mvuto Sasa hata hicho Chuo chenyewe sijui kama kinatowa competent graduates.
 
Sio poa
 
Milioni na laki tano plus direct cost. Ukiondoa insurance, pamoja na chukula na maladhi.

Ada pekee ni milioni moja laki mbili na elfu tano.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom