Mwanamke nikiekuwa nae tuliachana kwa amani kabisa na Kuna muda tukipata muda huwa tunasalimiana hilo halina shida tatizo sijajua kwake lakn hayo hayafanyi mm kuhisi shida inaanzia kwakeCku nyingine ukiwa njia panda unavunja Nazi,
Pole kwa mahasibu yaliokukuta, ucpende sana kuingiza imani za kishirikina kwa jambo lolote.
Nafikili ww ni mtu mzima kabla ya huyo MWANAMKE ulikuwa na nani na mlimalizinaje mpka ww ukawa huru na kumpata huyo mwanamke, lkn nae pia alimazianaje na mtu wake WA mwisho kabla yako.
Je umejalibu kumueleza kwa unayoyaota?
Je una jambo gani liliokupelekea kuhusisha ndoto + majibu na mahusiano?
Kaa tafakali huwenda ni ndoto za kupita tu lkn jalibu kuzungumza nae ukiwa kucheki afya nk,
Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
Tumia kondomuMwanamke nikiekuwa nae tuliachana kwa amani kabisa na Kuna muda tukipata muda huwa tunasalimiana hilo halina shida tatizo sijajua kwake lakn hayo hayafanyi mm kuhisi shida inaanzia kwake
Ahsante ndugu na ndo maana nimekuja Kwanza hapa kupata ushaurAisee ulijaribu kumgusia hayo ? Kama bado jaribu kumgusia japo kinafki uone reaction yake itakupa picha.
Maana hatujui safari imebeba nini, pengine kaja na maradhi
Mambo ya kukimbilia kwa Wagaga sio mpango
Ndugu hayo unayoyasema hapa ni ya kawaida nishafanya research kwa mwanamke mwngne hali inakuaje baada ya kufanya nae mapenzi hapo hakukuwa na shida nikawa sawa tu lkn nikifanya na yey ndo shida huanzia hapo hapa natafta solution sio wagangaKila mtu huota ndoto na ndoto ni njia ya Mungu kusema na watu wake. Yaweza kukuonya au kukutahadharisha. Sasa ukisema ati tangu mwanamke atoke/arudikutoka kwao ndipo umeanza kuota manjozi mabaya na pia unaota mauvimbe huoni kuwa unajitishia maisha mwenyewe?
Kabla ya kukimbilia humu JF ungeenda hospital mwenyewe ukapime hali ya afya yako. Zamani tulikuwa na magonjwa mengi tu ya VD ka vile;
Kisonono, pangusa, kaswende na mambo yanayo fanana na hayo. Siku hizi hamuyaogopi tena hayo magonjwa mnaogopa Ukimwi tu. Mwadhani hayo mengine yalikufa yenyewe yakamwachia Ukimwi uanja?
Nenda kapimwe hospitali kamili zenye vipimo wakuone unaumwa na nini. Baada ya hapo, nenda Kanisa lolote la kiroho uokoke umpokee Yesu Kristo awe Bwana na mwokozi wako akuponye sio hayo magonjwa tu bali zaidi sana nafsi yako.
Huo ndo ushauri wangu ukitaka upokee au uuache ukadanganywe huko umalize pesa kwa kitu cha bure.
Huo muda usiku huwa Nina usingz hatarusikubali,
chukua Nazi
anzia kwenye macho ya Nazi kuandika yafuatayo
Ewe mleta maradhi,fedheha na matatizo nakurudomisha ulipotoka
jifunge shuka jeupe kavunje hiyo nazi Barabara ya lami saa 8:12 usiku.
kila La kheri
basi endelea kupambanaHuo muda usiku huwa Nina usingz hatar
fika hospital ukapate tiba na ushauri.Huwa yanatokea kwenye pumbu juu au pembezoni lkn ni maeneo hayo hayo
Bro, nenda kapime hospitalini pima vipimo vya uhakikandipo ufanye maamuzi. Mambo ya kufanya research juu ya mtu nadhani ishapitwa na wakati. Kama vipi kwa kuwa hujasema una hata katoto naye, achana naye waachie wabeba zege waende nayeNdugu hayo unayoyasema hapa ni ya kawaida nishafanya research kwa mwanamke mwngne hali inakuaje baada ya kufanya nae mapenzi hapo hakukuwa na shida nikawa sawa tu lkn nikifanya na yey ndo shida huanzia hapo hapa natafta solution sio waganga
Mkuu mbona unatafuna maneno? Hiyo ni gonorrhea sugu anatakiwa aende na huyo mtu wake wakapimwe. Hivyo anavyosema vijipu ni mitoki ambazo ni moja ya dalili za gonorrhea!mtakua na ma UTI sugu na hivyo vijipu utokea pale mnapofanya yenu na lile jasho pamoja na fluid zote za uko chin kwenu kugusana ndio mana unajkuta kwenye kibofu na mater coon unapata vile vjpu vdogo na n vi chungu sana nenden hsptal mpate tiba sahii na acha usharo wa kunyoa vuzi na kua kipara na kuingia kwenye sex apo ua n hatar sana