Msaada Tutani

Damidizzo

JF-Expert Member
Apr 28, 2014
399
170
Habari za wakati huu waungwana.

Kuna wadau wanajishughulisha na uuzaji wa pikipiki used pale Mbagala Zakhem mkabala na bank ya Amana na wanadai wanatoa documents zote ukinunua pikipiki kwao.

Sasa nilitaka kujua ni salama kiasi gani au kama kuna mtu alishawahi kufanya nao biashara maana nilitaka kununua pikipiki kwao kwa ajili ya biashara ya bodaboda.

Natanguliza shukrani na nitaheshimu mchango wa kila mmoja.🙏
 
Usiumize kichwa, nenda kachague pikipki unayotaka, waombe nakala ya kadi, nenda TRA kafanye verification. Ukiridhika rudi ufanye biashara. Angalia pia kama kadi ni genuine. kwa sasa ni hilo tu
 
Usiumize kichwa, nenda kachague pikipki unayotaka, waombe nakala ya kadi, nenda TRA kafanye verification. Ukiridhika rudi ufanye biashara. Angalia pia kama kadi ni genuine. kwa sasa ni hilo tu
Asante sana mkuu. Nawezaje kuainisha kadi genuine na fake?
 
Asante sana mkuu. Nawezaje kuainisha kadi genuine na fake?
Hapo inategemea sasa na uelewa wa mtu na mtu, manaa unaweza kuta kadi ikaonekana kama OG kabisa kumbe ni feki, so far cha kufanya wewe nenda TRA kwanza na mkataba wako uwe ni wa maandishi sio wa maneno. au fanya hivi, kubali gharama, yeye kama anauza pikipiki na kadi hazipo kwenye majina yake, mpe pesa akabadilishe jina lisome kwenye jina lake kwanza ndio wewe ununue kadi ikiwa iansoma jina lake, ni gharama mara mbili lakini kama una mashaka waweza kufanya hivyo, hio nayo ikiw angumu, naksuhauri jichange nenda kanunue mpya. Ongeza hio pesa ukanunue chombo kipya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom