Msaada tutani

mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
31,415
38,701
Jamani ujanja wa madini sina kabisaaa.

Hivi ni ipi tofauti ya kimsingi kati ya shaba na dhahabu kimuonekano?????

Maana nikimuona mtu kavaa pete ya dhahabu kisha nikaona kufuli mpya ya mlango huwa sioni tofauti kabisaa.
 
Back
Top Bottom