msaada tutani.plz

msaada tutani.plz

darshan

Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
46
Reaction score
6
mamboz.....hv unatumia mbinu gn kumsoma mtu na kujua anajari,anakuheshimu ,kukupenda kweli???????
 
siku hizi mambo yamebadilika ,mapenzi/mahusiano yanachukuliwa kama uwanja wa mapambano vita kwa hiyo hata mbinu zimebadilika,yote ktk yote uhusiano mzuri na wa kuduma uatajengwa na utii na upendo bila shurti kwa pande zote mbili,kuaminiana,na kupanda kabla ya kuvuna(hapa namaaisha kile kiwango cha upendo unachotaka kukiona kutoka kwa mwenzio ukioneshe kwanza!
 
asatheeeee
 
mamboz.....hv unatumia mbinu gn kumsoma mtu na kujua anajari,anakuheshimu ,kukupenda kweli???????

Mzamishe kichwa kwenye ndoo iliyojaa maji, akijitoa kwa nguvu basi hakuheshimu
 
Back
Top Bottom