Msaada tutani: Nyimbo za Sherehe ya Harusi

BabaKasheshe

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
211
Reaction score
45
Salama wana JF....Jamani ninategemea kuwa na harusi vere soon, naomba ushauri au orodha ya nyimbo nzuri zinazopendeza na kuchangamsha katika sherehe ya harusi...nyimbo za aina zote (dini, rege,raga,pop,kwaito,bongo fleva.....etc)
 
Harusi yako au ya watu??
Chagua kwanza zinazokufurahisha ww na mkeo/mmeo mtarajiwa
 
Ni ya kwangu kaka, na hizi ndo tunazifikiria.karibu


-Zunguka
-Kwaito ya mafikizolo
-Me and you -Bongo fleva
-Today is my wedding day
-Alachi
-Zindonga
-Sebene
-Upendo wa yesu wanizunguka
.
.
.
.
.
 
..........Rebake wanisumbua ya eeeh,
wakati nalikuoa ya eeeeh.............
 
Kwani huna kamati ya maandalizi... Lete mc wewe.. Usije ukajaza ukumbini mpaka vinywaji unavyovipenda wewe tuu..
 
Tukisema tufuate taaluma, hiyo ni kazi ya DJ wewe haikuhusu
 
:A S shade:mtoto si nguo ukaomba mtu...ukikosa wako eeeh!!!!utalia sanaaaaaa:A S angel:
 
Wazia zaidi Jukumu jipya la maisha ya ndoa na jinsi utakavyoistawisha na kuifanya idumu. Waachie wanakamati/wengine hizo issue za kufanikisha sherehe.
 
u ar my no 1,nimekuchagua wewe
ngoja nikaangalie za kidhungu thn
nije nikwambie bwana harusi!

 
Zote tisa, 10 hii nyimbo...RIP Mzee Matona.

 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…