Msaada tutani Nomino na Vitenzi

Loeli

JF-Expert Member
Jan 26, 2014
997
763
Wadau wa elimu hebu nisaidieni kutatua haya maswali? Dogo amepewa homework sasa mimi mama ninatoa macho maana sikumbuki haya mambo:

1. Nomino KITI ipo katika ngeli ipi?

2. Kitenzi cha neno mkufunzi ni?

Please, saidia. Mimi siyo Bashite ila kiswahili ni kigumu ukweli we acha tu.

Asanteni sana.
 
Waalimu na mafundi wa kiswhahili chonge nisaidieni. Asanteni.
 
1.KITI ipo katika ngeli ya nne ya KI-VI. KI-Umoja, VI-Wingi Mfano, kiti KImevunjika - viti VImevunjika.

2.Funza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom