Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,560
Sawa zimefika.. Kuna kiu if you don't obey it and get a sprite inakuwa kama heartburn. Tell her to have fun if it works out.Ahahahha sawa amesoma akanipandia hewani anacheeeka anakusalimia anasema shukran
Ahahahaha, asante,nunasomaga storinzangu lkn?!Jinsi unavyosimulia tuuu... Kama nimekupenda vile.. Check me i hav a gift for u.. Seriously
Aya boss asanteSawa zimefika.. Kuna kiu if you don't obey it and get a sprite inakuwa kama heartburn. Tell her to have fun if it works out.
Ilikuwa week kama mbili zimepita sasa, My Rich - Wealthy friend akanitafuta
Rich friend: Tsup Beyaaaaach! How ya doing?!
Money Penny: am good chile!
Rich Friend: naskia ulikuwa na birthday juzi kati nimekuona instagram umependeza mwenyewe, nisamehe sama nilikuwa nje ya nchi, plz tuonane kesho tuongee tukajifungue kunduchi beach hotel kuanzia saa 4 turudi saa 1 usiku nitakupa na zawadi yako hapa nimekuja nayo
Safari ikawadia, tukaongeeeeaaa tuuuukacheeekaaaa si unajua tena mashosti tukikutana afu hamjaonana muda, nikalipiwa kiiila kitu gademit! Malkia wa nguvu nimekaa pembeni
Baaada ya mazungumzo yote akaniambia, shoga nina bwana wa pembeni
Money Penny: ha?! Shemeji ha~delive vya kukutosha au umeamua kuchukua vacation?!
Rich Friend: Acha tu niskilize kwanza acha assumptions; shemeji yako alihisi na cheat akaniwekea body guard, body guard ana sexy body hakunaga mfano adu handsome balaa, mmh! me kuletewa nikalowa pichu!, si unajua tena mambo yetu yale ya, baby if u give it to me, i give it to you... basi tukaenda weee nikaona sasa hapa nisipomweka sawa nitakuwa sipati twishen nje, twishen nje muhimu inasaidia ndoa ikomaeee
Nikamtega akategeka, gadame! Nilikamatika mamangu body guard mtamuje sasa?! Uuuuwi, mtamu hatari, nimeshaenda nae round kama 10 hivi, siri zangu zote anazificha akiulizwa anasema mkeo mzuri hana shida yani clean report tuuu!
Majuzi kati mume akashtukaa, nikabadilishiwa mwengine, anasura kavu afu mchungu balaaa, hata hapa tulipo keshapiga simu kwa mume tupo kunduchi,
Rafkiangu sikudanganyi wili, roho, papuchi zangu vyoote kaondoka navyo body guard, nampenda body guard hakuma mfanooo, mume namwona mchungu sikuhizi, zile dozi ni hatarious sijawahi pata tangu nazaliwa
Nikimpigia simu haitoshi, kukutana nae nashindwaaaa nimejaribu kutorokaaa, kuruka ukutaaaa wapiiii, kuhonga walinzi wa nyumba imeshindikanaaa.
Sijui nafanyaje Money Penny! Embu umiza basi kichwa na mimi plz!
Jaman mabingwa wa ushauri JF naomba mumsaidie my Rich friend puleees!
Body guard mtamu mwe!
Ahahahha aya nimekusoma nakuja kivingine tenaumebadili mwandiko..ule tuliozoe ndio mzuri
Once you go bodyguard you don't go back..Ahahahaha... mumewe hata me namwona ana sexy body sa sijui nahisi dyu dyu ya bodyguard tamu

Ahahahaha umeona eeOnce you go bodyguard you don't go back..![]()
Anapenda sanaaa kama wewe unavyopenda papuchi haimaanishi ni malayashoga wako ni Malaya, anapenda kugongwa sana, maana mpaka anapewa bodyguard ni kwamba alikuwa na michepuko. kapewa bodyguard ikawa ni mbuzi kafia kwa muuza supu, kwa kifupi shogayo anapenda sana dushe, dawa yake ni mtungo ndio hamu zitamtoka.
Wanaume wengine wako very insecure wanajua mapungufu yao... Wanakaba hadi penalt.shoga wako ni Malaya, anapenda kugongwa sana, maana mpaka anapewa bodyguard ni kwamba alikuwa na michepuko. kapewa bodyguard ikawa ni mbuzi kafia kwa muuza supu, kwa kifupi shogayo anapenda sana dushe, dawa yake ni mtungo ndio hamu zitamtoka.
Msaada ama mawazo yangu, ni kwamba hawezi kutulia ama kulidhika kwa huyo bwana kama vp aachane nae kwa kuwa, moyo wake upo mahali pengine, sasa hapo kakaa kimaslahi kitu ambacho ni kibaya sana, siku jamaa akigundua ndio kama yale ya Kubaha.Ahahahaha umeona ee
Anapenda sanaaa kama wewe unavyopenda papuchi haimaanishi ni malaya
Sasa unampa msaada maana naona warapu tu
Sio kuwa wanajua mapungufu yao ama laa. lnawezekana jamaa yuko vizuri tu, je mshikaji jongoo ananyong'onyea ama nguvu kudogo? tatizo mademu walio wengi ni wanafiki sana anaweza kujua kabisa kuwa akipigwa style fulani ndio inamkojoza na raha anapata, lakini anamuonea aibu kumwambia mpz ama Mme wake, badala yake anaenda kutafuta mchepuko halafu huko ndio anafunguka kila kitu nakufanya mautundu ambayo amfanyii mwenzie, naongea vitu ambavyo vimenikutaWanaume wengine wako very insecure wanajua mapungufu yao... Wanakaba hadi penalt.










Nilikuwa naongelea sababu za kuweka bodyguard who was turned into a sex toySio kuwa wanajua mapungufu yao ama laa. lnawezekana jamaa yuko vizuri tu, je mshikaji jongoo ananyong'onyea ama nguvu kudogo? tatizo mademu walio wengi ni wanafiki sana anaweza kujua kabisa kuwa akipigwa style fulani ndio inamkojoza na raha anapata, lakini anamuonea aibu kumwambia mpz ama Mme wake, badala yake anaenda kutafuta mchepuko halafu huko ndio anafunguka kila kitu nakufanya mautundu ambayo amfanyii mwenzie, naongea vitu ambavyo vimenikuta
doh kaka povu vepe?shoga wako ni Malaya, anapenda kugongwa sana, maana mpaka anapewa bodyguard ni kwamba alikuwa na michepuko. kapewa bodyguard ikawa ni mbuzi kafia kwa muuza supu, kwa kifupi shogayo anapenda sana dushe, dawa yake ni mtungo ndio hamu zitamtoka.