Habari ndugu nimepiga window 7 ultimate min hp compaq 2710p but driver 1 ya pci na network driver imegoma nimetumia window cobra 2010 bado inakataa nikaweka driver update sasa inahitaji licence key kkutumia alikuwa nayo lincence anisaidie au ujuzi kwenye kusolve hiyo issue au more cobra kwan ninayo 1 na nyingine imegoma yaani cd imekwaruzika IT