sio lazima iwe bootable, cha kufanya set boot order, option ya kwanza iwe cd/dvd drive. chomeka cd zima pc ukiwasha pc itadetect yenyewe na kuanza, option zingine ni kuifanya kama wadau walivosema hapo juu, pia unaweza iweka kwenye flash disk na hadithi ikaishia hapo