GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,707
- 128,214
Jibu utakalopewa na mimi litanisaidia.
Namiliki TZ 11Wewe si unamiliki Prado New Model sasa mambo yetu ya ' Team Daladala ' yanakuhusu kweli Mkuu au unatusanifu tu?
Jamba, abiria wote akili yao itabaki ktk harufu, wewr utapata mwanya mzuri wa kumwongeresha huyo binti.
tengeneza business cardNaomba nipewe ujanja / mbinu ya ama kumuomba namba ya Simu Mwanamke mkiwa katika Daladala lililojaa bila kuona aibu au ile ya kumpa Mwanamke namba yako ya Simu ' kimya kimya ' bila ya kuathiri masikio au macho ya Abiria wengi wa Daladala ambao wengi wao huwa na Wivu / Husuda halafu pia wana Visununu / Visirani mno kwa Wenzao ambao hufanikisha mambo yao ndani ya huo Usafiri.
Nijibuni upesi hizi mbinu tafadhali ili hili zoezi nilianze rasmi mapema tu Kesho asubuhi kwani mazingira yangu mengi ya ni Daladala hivyo nahisi nami huko naweza kuopoa Kitu.
Mkanyage kidogo na usiutoe mguu mpaka ashituke, akigomba mwombe msamaha na anzisha stori fupi za shida za kwenye daladala. Usiache kumsemesha mpaka ajiunge kwenye msafara. Kifupi mfanye aone haja ya maongezi kisha unaaga kwa shingo upande katikati ya maongezi kuwa unashuka kituo kinachofuata unalailai na kuchukua namba kiulainiiiiii.😛😛😛😛Naomba nipewe ujanja / mbinu ya ama kumuomba namba ya Simu Mwanamke mkiwa katika Daladala lililojaa bila kuona aibu au ile ya kumpa Mwanamke namba yako ya Simu ' kimya kimya ' bila ya kuathiri masikio au macho ya Abiria wengi wa Daladala ambao wengi wao huwa na Wivu / Husuda halafu pia wana Visununu / Visirani mno kwa Wenzao ambao hufanikisha mambo yao ndani ya huo Usafiri.
Nijibuni upesi hizi mbinu tafadhali ili hili zoezi nilianze rasmi mapema tu Kesho asubuhi kwani mazingira yangu mengi ya ni Daladala hivyo nahisi nami huko naweza kuopoa Kitu.
Unataka kuomba nomber ya nini?Jibu utakalopewa na mimi litanisaidia.
Hii strateji nzuri.Andika msg kwenye simu yako, kumwomba namba yake, mpate simu yako asome, halafu atakuandikia namba yake hapo kwenye msg yako.
Hakikisha hashuki kituo kinachofuata asije tambaa na simu[emoji38][emoji38][emoji38]
Pambana tu, huwezi jua...[emoji6]Hii strateji nzuri.
Na mimi nahitaji ya kuomba namba PM.
Kuna mtu ameshika simu yangu love. Sio mimi huyo.Unataka kuomba nomber ya nini?
We jamaa una kipaj siasa itakufaa ndo mbinu zao kuendesha.nchi viongozJamba, abiria wote akili yao itabaki ktk harufu, wewr utapata mwanya mzuri wa kumwongeresha huyo binti.
Nilishajaribu hii....Andika msg kwenye simu yako, kumwomba namba yake, mpate simu yako asome, halafu atakuandikia namba yake hapo kwenye msg yako.
Hakikisha hashuki kituo kinachofuata asije tambaa na simu[emoji38][emoji38][emoji38]
Ulifanikiwa?Nilishajaribu hii....