jery tarimo
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 207
- 128
atakua ana matatizo ya kisaikolojia na jini la kupenda vya watu
msaidie dogo apate msisimkoNimechekaaa
Eh makuubwaa!
Basi sawa atakucheki inbobo maana anasoma hapo anacheeeekaa
Me mke wa mtu jamaaa unataka kufa au kuishi?! Chagua moja!
Tena utanifaa sana. ni PM nikakupe mahaba
Ni sheeedaaah!
Ahahahaha, wewe bwanaatakua ana matatizo ya kisaikolojia na jini la kupenda vya watu
Kiru! Shindwaaamsaidie dogo apate msisimko
Hahaaaaaa atakuwa ajavutiwa naye huyoMpe tu hata wewe mbona umri uleule
UTACHOMWA NA GESIHata mimi nimejikuta nawapenda wamama wakubwa baada ya wao kunipenda mimi tangu naanza mapenzi 95% wamenizid mbali kiumri