Kama mchakato wa ajira yako ya awali ulifikia hatua zote basi na ajira hii sahau.
Kama mchakato wa ajira yako ya awali haukukamilika 100% basi karipoti kazini maisha yaendelee.
Narudia, nenda karipoti kazini na uchape kazi kweri kweri!Kwahiyo Kama check No ilitoka nisijisumbue kwenda kuripoti ajira mpya wale waliowahi kufanikiwa kurudi waliwezaje
Mkuu naomba elimu kidogo kuhusu ajira kukamilika kwa 100% . Naona itakuwa faida kubwa kwa kizazi kipyaKama mchakato wa ajira yako ya awali ulifikia hatua zote basi na ajira hii sahau.
Kama mchakato wa ajira yako ya awali haukukamilika 100% basi karipoti kazini maisha yaendelee.
Ajira kukamilika ni kutimia hatua zote muhimu mpaka mtu anaitwa mtumishi wa umma.Mkuu naomba elimu kidogo kuhusu ajira kukamilika kwa 100% . Naona itakuwa faida kubwa kwa kizazi kipya
Aha! Kumbe ukifuata utaratibu haina tatizoAjira kukamilika ni kutimia hatua zote muhimu mpaka mtu anaitwa mtumishi wa umma.
-kupokea barua ya ajira
-kupokea barua ya kupangiwa kituo cha kazi.
-Kuripoti kazini
-Kupewa namba ya kupokelea mshahara kutoka hazina.
Hapo ukiacha kazi basi fuata taratibu, vinginevyo mbele hutoajiriwa tena serikalini au utakutana na usumbufu kwenye ajira mpya
Mkuu ajira za ualimu awamu hii walitoa tangazo hadi wahandisi waombe kazi wakawe walimumimi sijaelewa mhandisi ujenzi anakuaje mwalimu wa sekondari
Sasa mpaka inafika hatua unawaita wahandisi wakafundishe ina maana walimu hakuna ama vipi?Mkuu ajira za ualimu awamu hii walitoa tangazo hadi wahandisi waombe kazi wakawe walimu