JohnnyGeek
Ukitaka Thread yako ifutwe wasiliana na Mods watakusaidia jambo hilo, au sema hapa ni thread ipi unataka ifutwe
Baba Mtu
Ni kweli anachosema
IrDA Member wa kawaida hawezi kufuta Thread .... sio kufuta comment zake
Ulichoandika hapo juu ni process ya kufuta post yako