[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aiseee niko njema mkuu
Vp ww mzee mwenzanga
Ulikutwa na mods nn
Maana nmeachiliwa ila
Kila kona ckukuona brother
Haa haa 😀 😀 😀 😀[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Baada y lile janga niliahidi ntaenda Congo sasa nilifika Bukavi nikawa natafuta vyumba maana madalali wa Bukavu wana sumbua sana.
So sikuwa naonekana hapa mpaka ijumaa.
Ile ban niliiona bhana, [emoji1] aseee ulitisha bob
DaaahHaa haa 😀 😀 😀 😀
Aisee na kweli uliamua kujipa
Ban la congo mkuu hao madalali
Wa bukav yan kama,wa tabata vle
😀 😀 😀 😀
Aiseee lilejanga lilinipa ban
La week mkuu dhaa yan
Waliniuz kichiz wale jamaa
Aiseee yan ndan ya dk 3
Furaha ikaenda na maji 😀 😀 😀 😀
Skuamin kabsa yan
Aiseee achatu mkuuDaaah
Yaan usser nilivo jiskia sku ile najua mwenyewe
Lakin maisha ya Bukavu yako poa, wiki ijayo naenda kutembea Goma.
See you around bro
HahahahaAiseee achatu mkuu
Nlipgwa 10 na kina rebery ruben
Lakin hii ckuona ktu cz nlishaizoea
Ila lile janga lilifanya nipate ucngz.
Saa 3 ucku aisee yan mpaka
Now naona n miujiza tu dhaaa
Aaaah!! Taliii brother uje na
Kimwana huko tubadilishane
Nkupe mkikuyu
Kipige ukutani afu kanawe uso urudi tena kumsoma darassa na mreno usikilize tena iyo video utaelewaMbona kichwa changu kinashindwa kuamini kabisa hii story???
Ahahaha we una vituko asantee[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ya uongo ila nime ipenda
Si kama movie tu , yan nime burudika
Salute Penny
Kuzomea vepee?![emoji13][emoji13]
BARIDAAHaya tayari umeshauza sura mumie.
Ahahahha weweeePenny kwenye ubora,wake
Nimecheeeekaa. Ahahaha nyie mna vitukoJiunge halichachi mkuu [emoji23][emoji23]
Poyeeeekichwa kimekataa kabisa yaani
We stunter mtu keshaambiwa anaenda kumwua mamake una kaa nae kufanyaje labda?! Atakaefuata si wewe baada ya maza?!Kwa njaa hizi hakuna mwanamke mwenye ubavu wa kumpandishia kibesi mwanaume, tena kama ndio mzungu basi atalambwa hadi miguu
Sasa neno 'Kumrusha' ndio lilitafsiriwa vibaya si ndio??We stunter mtu keshaambiwa anaenda kumwua mamake una kaa nae kufanyaje labda?! Atakaefuata si wewe baada ya maza?!
Ha haa unanikoshaga c kitotoKipige ukutani afu kanawe uso urudi tena kumsoma darassa na mreno usikilize tena iyo video utaelewa
Ahahaha we una vituko asantee
Lkn at least mmecheka right?! Sio kila siku mnahuzunika na kushupaza vichwa
Kuzomea vepee?!
BARIDAA
Ahahahha weweee
Nimecheeeekaa. Ahahaha nyie mna vituko
Poyeeee
HahahahaKipige ukutani afu kanawe uso urudi tena kumsoma darassa na mreno usikilize tena iyo video utaelewa
Ahahaha we una vituko asantee
Lkn at least mmecheka right?! Sio kila siku mnahuzunika na kushupaza vichwa
Kuzomea vepee?!
BARIDAA
Ahahahha weweee
Nimecheeeekaa. Ahahaha nyie mna vituko
Poyeeee
Asante wangu naangusha bomu lingine baadaeHahahaha
Usjali, we mambo yako yanakuwa super haujaniangusha hapa, wacha tufurahi kama hivi
Asante boss nimekupenda bureHa haa unanikoshaga c kitoto
Me siwezagi ubishi jamaa nimeleta ubuyu kama ulivyoSasa neno 'Kumrusha' ndio lilitafsiriwa vibaya si ndio??
Je hilo neno maana yake ni kumuua mtu? Angalau huyo jamaa angekuwa ni wa uarabuni tungesema wana historia mbaya, kumbe ni wa ufilipino maskini ya mungu,
Penny umezingua hapo au umesahau humu ni Home of the great thinker?
Mreno: but tommorrow morning i will haveMe siwezagi ubishi jamaa nimeleta ubuyu kama ulivyo
Inawezekana hata wewe stunter english vepee!
Mbona na wewe umekosea
Fly home = kusafiri kurudi nyumbani
Fly back = ni?!
Tuanze hapo english bro
We ukidondosha nishtue ni iipate ikiwa ya moto ya motoAsante wangu naangusha bomu lingine baadae
Asante sana kwa support
Asante boss nimekupenda bure
Hata mimi nimeiona hii fixacha fix shost!