Nimepita sehemu flani na kuona Trenet tv ipo online,ni chaneli ya dini ya kiswahili toka Tanzania,nimeshindwa kudadisi hata kuwauliza kwa mazingira niliyokuwa nayo.Naomba msaada je? Ipo angle
Trenet kwenye dish la futi 6 inapatikana nimejaribu kuongeza lnb ili niendelee kupata za local channels kwa dishi moja ila imekataa.Channel kuwa kwenye satellite ya peke yake wakati mwingine inakuwa ngumu kuwafikia wengi mpaka kununua dish jingine.