hyle master
JF-Expert Member
- Jan 27, 2013
- 209
- 23
habar zenu wakuu naomba msaada external yangu aina ya transcend 500gb inakataa kusoma kwenye pc yangu inawaka tu taa lakini kwenye pc haionekani nime jaribu kwenda kwenye device manager lakini pc haitambui mwanzoni ilikua inapiga kazi vizur lakini sasa ni chomeka kwenye pc ina toa beep sound naombeni msaada wenu