Msaada: TRACTOR NZURI KWA KILIMO

Msaada: TRACTOR NZURI KWA KILIMO

Raimundo

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2009
Posts
13,415
Reaction score
12,627
Mwenye habari za kina juu ya Tractor nzuri za kulimia anipe habari, kuanzia aina, upatikanaje wake na bei.
 
Tusubiri wengine lakini mimi nitakujibu kwa habari za uhakika ifikapo kesho jioni. Unaihitaji kwa ajili ya biashara au mashamba yako binafsi tu? unapanga kulima mazao gani na mkoa gani hasa?. Jibu haya pengine yanaweza kukusaidia kupunguza gharama.

Bajeti kamili hakuna, nahitaji kujua aina, ubora/uimara, bei zake ili nifanye assessment ya nijipange vipi!
 
Nunua massey furgason 50 hp mpya pamoja na jembe shilingi 26,000,000/=
 
Back
Top Bottom