jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,877
- 10,213
DohWenye magari ngoja waje🤭
Ishu hako ndogo sana, check ignition coil, spark.Habari.
Jamani msaada kwenye tuta
Nina Toyota rush toka alhamis inaniletea ugonjwa pasua kichwa mno.
Ukiitembelea bila kuwasha ac unaweza kutembea hata siku nzima isisumbue gear box ina change fresh kabisa,lakini ukiwasha tu ac ndani ya dakika 5 au 10 basi over drive ina blink kwenye dashboard na gari inakuwa haibadili tena gear.
Hapo ndo mpka upaki ikipoa inakuwa kawaida je ulishawahi kukutana na hii changamoto na uliwezaje kuitatua ndugu yangu?
Msaada naona dalili za kwenda kuliacha barabarani kwa hasira
HahahahaahahGari ya chupi mkononi kwa wanawake.
Toyota Rush ni gari kipengere, wiring, engine na geabox yake wajapani walidesa. Ni gari nzuri ikiwa mpya. Ikianza kuchoka utaikimbia.
Ushauri: itengeneze, iuze usifunge ndoa na vyuma mkuu.
Mkuu peleka gari kwa mtaalam wa diagnostic, lazima tatizo liko kwenye ECU-Electronic Control Unit.Habari.
Jamani msaada kwenye tuta
Nina Toyota rush toka alhamis inaniletea ugonjwa pasua kichwa mno.
Ukiitembelea bila kuwasha ac unaweza kutembea hata siku nzima isisumbue gear box ina change fresh kabisa,lakini ukiwasha tu ac ndani ya dakika 5 au 10 basi over drive ina blink kwenye dashboard na gari inakuwa haibadili tena gear.
Hapo ndo mpka upaki ikipoa inakuwa kawaida je ulishawahi kukutana na hii changamoto na uliwezaje kuitatua ndugu yangu?
Msaada naona dalili za kwenda kuliacha barabarani kwa hasira
Utawapata wapumbavu tuHaya mambo yakianza kwenye kacorolla kangu ,nikamstua pastor mmoja rafiki yangu akakapigia maombi hakajarudia tena .
Anyway ngoja waje wajuvi
Huu sio uungwana. Je akinunua mwana JF atakuja Tena kuomba ushauri. Usimfanyie binafamu mwenzie kitu usichopenda kutendewa. Jua malipo ni hapa hapa duniani. Unamshikisha mtu nawe unashikishwa kitu Tena na mjapani ambae huwezi hata kumwona akupe historia ya tatizo lilianzajeToyota Rush ni gari kipengere, wiring, engine na geabox yake wajapani walidesa. Ni gari nzuri ikiwa mpya. Ikianza kuchoka utaikimbia.
Ushauri: itengeneze, iuze usifunge ndoa na vyuma mkuu.
Nimeshauri atengeneze mkuu. Sasa mimi sio muungwana wapi hapo mzee. Magari yanauzwa sawa na bei ya matatizo yake.Huu sio uungwana. Je akinunua mwana JF atakuja Tena kuomba ushauri. Usimfanyie binafamu mwenzie kitu usichopenda kutendewa. Jua malipo ni hapa hapa duniani. Unamshikisha mtu nawe unashikishwa kitu Tena na mjapani ambae huwezi hata kumwona akupe historia ya tatizo lilianzaje
Atuuzie kimeo!Wacha afe nayo mwenyewe.Toyota Rush ni gari kipengere, wiring, engine na geabox yake wajapani walidesa. Ni gari nzuri ikiwa mpya. Ikianza kuchoka utaikimbia.
Ushauri: itengeneze, iuze usifunge ndoa na vyuma mkuu.
Braza najifunza vitu vingi sana kupitia nyuzi zako. 🙏 mimi mwanafunzi wa umeme wa magari. UBARIKIWE SANAMkuu peleka gari kwa mtaalam wa diagnostic, lazima tatizo liko kwenye ECU-Electronic Control Unit.
Mkuu bado upo nayo??ulifanikiwa kutatua changamoto??shida ilikuwa ni nini?Habari.