W wicalumtata JF-Expert Member Joined Oct 29, 2013 Posts 329 Reaction score 113 Mar 2, 2014 #1 wakuu mwenye utalaam wa torroid transfoma anisaidie, maana nimeitumia ktk amplifier yangu ndan ya wik 1 tu lakin sasa haitoi output zake, lakn ukipima ohms zipo poa, asa nashindwa kuielewa. Yenyewe ni ya volts 22v-0-22v
wakuu mwenye utalaam wa torroid transfoma anisaidie, maana nimeitumia ktk amplifier yangu ndan ya wik 1 tu lakin sasa haitoi output zake, lakn ukipima ohms zipo poa, asa nashindwa kuielewa. Yenyewe ni ya volts 22v-0-22v