Msaada! Tools za Kudownload videos

Msaada! Tools za Kudownload videos

Kyenju

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2012
Posts
5,143
Reaction score
2,547
Wataalam Wakuu.

Natumia browser ya Google chrome, ila napata ugumu Kudownload video za YouTube.
Nipetumia extension kadhaa ila hazifanyi kazi.

Je, kwa sasa ni hipi browser mzuri mbadala wa Torch iliyopigwa pin?

Wasalaam.
 
Kwa Android tumia SnapTube Latest Mod hata huangaiki unashusha hata 4k videos then unahamishia kwa PC.

Kwa PC weka IDM Cracked latest bado inakubali ku capture videos za YouTube.

Nomba kukuuliza,kuna video nikizidownload Youtube halafu nikaweka kwenye flash kisha nikataka kuangalia kwenye tv hazioneshi...je tatizo ni nini hapo
 
tumia izi website cobalt.tools ,loader.to copy link paste huku pia unaweza tafuta extension inaitwa video helper
 
Tumia 4K VIDEO DOWNLOADER
Ingia google andika YouTube video downloader
tumia izi website cobalt.tools ,loader.to copy link paste huku pia unaweza tafuta extension inaitwa video helper
Atumie vidmate
Nashukuru sana Wakuu kwa ushauri na michango yenu, na kwa kiasi kikubwa nimefanikiwa.

Ila kuna kitu kingine ningeomba mnisaidie ni kama kuna uwezekano wa Kudownload video zilizofungwa, (protected videos).

try grabnwatch.com hii inapita kwingi sana ila ukitaja site itapendeza kama ikikwama io apo
 
Nomba kukuuliza,kuna video nikizidownload Youtube halafu nikaweka kwenye flash kisha nikataka kuangalia kwenye tv hazioneshi...je tatizo ni nini hapo
Una TV aina gani kwanza? Make sio kila TV ina support formats zote
 
tumia izi website cobalt.tools ,loader.to copy link paste huku pia unaweza tafuta extension inaitwa video helper
Hawa colbat walkua na script yao nlkua natumia kwa Tampermonkey aisee ilkua inanyakua videos na audios za YouTube kama kunywa maji tu tena quality zote, daaah walii discontinue mwaka jana mwishoni hivi..
 
Back
Top Bottom