ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,676
Habarini.....Wakuu nina TV star X inch 32,nina sabufa Pinetech,nina king'amuzi cha Dstv......sasa nataka niunganishe hivi vitu 3 kwa pamoja means niwe naona kwenye TV kwa king'amuzi changu na Sauti itoke kwenye Sabufa msaada nafanyaje
Nashindwa kuelewa kama NIKITUMIA HDMI cable nitaunganisha vipi sabufa yangu? Na faida za HDMI ni nini?
Kama nikitumia njia 3 (RCA CABLE) kipi nitakikosa nisipo tumia HDMI nataka kuunga na sabufa msaada Tafadhari