Naomba kufahamu tofauti kati ya Diploma na Ordinary Diploma!
Je! Alafu mwenye Ordinary Diploma anaweza kuendelea na Chuo kikuu through ''direct entry''?
Ni hilo tu wadau, msaada wenu plz!
Ordinary Diploma ndio hiyohiyo Diploma.
Kama umefanya vizuri Diploma ni Qualification mojawapo ya kuchukua Ordinary Degree.
Ewe Punguani haiitwi Ordinary Degree inaitwa Bachelor degree Ukipata hiyo unasoma Masters Degree baada ya hapo PhD

vp advanced diploma na ordinary diploma
Diploma ni ile wanayosoma wanaosoma walimu, miaka miwili sana sana. Ukimaliza huendi chuo kikuu kusoma Bachelor Degree hadi uombee NACTE na sio TCU.
Ordinaly Diploma ni ile inayotolewa na vyuo kama DIT WDMI and alike, inakua ya miaka miwili, unaenda chuo kikuu directly kupitia TCU.
Advanced Diploma ni kama Bachelor Degree
Upo sawa, ila Ordinaly Diploma huchukua miaka 3
Kw hyo walmu wenye diploma hawawez kuchukua bachelor degree?!
Ewe Punguani haiitwi Ordinary Degree inaitwa Bachelor degree Ukipata hiyo unasoma Masters Degree baada ya hapo PhD
Upo sawa, ila Ordinaly Diploma huchukua miaka 3
Ordinary diploma ya dit ni mwaka mmoja
sio sawa, ni miaka 3. otherwise utakuwa na FTC tena ukimaliza mwaka wa pili ndo unapata hiyo ukihitaji
Miaka miwil ya mwanzo ni technical certificates
Wa tatu ndo ordinary diploma na wa nne ni higher diploma
haya angalia ulichosema mwanzo
Oky nimekupata mkuu