Msaada ; tofauti kati ya Facebook na Facebook lite

Bitoz

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2015
Posts
30,822
Reaction score
126,643
Wakuu
Simu yangu play store haipatikani" Facebook” yaani IPO "Facebook lite " tu sasa cjui ni tatizo au....... .je vitu hivi viwili ni tofauti ?
Natanguliza shukrani
 
Utofauti wake ni katika uzito wa apps. Facebook lite ni nyepesi na inakubali kwa simu hata zenye specs ndogo wakati facebook ya kawaida ni nzito inahitaji simu iwe na specs kubwa.

Shukuru mungu app ya facebook haipo maana hio app ni nzito kupindukia inafanya simu nyingi kuwa slow
 

Chief ni wewe kweli?
 
au kapiga viroba

Kwa nini mnasema hivyo? Kwani kakosea? Facebook app ni kubwa sana na inakusanya cache files kwa kiwango kikubwa na kujaza simu fasta. Watumiaji wa simu kama tecno wanaweza kushuhudia. Ukikuta tecno inadai low memory hadi unashindwa kurun au kudownload apps fulani ebu toa kwanza facebook app na ckear cache utaona simu inakubali. Unapaswa kutumia high end na mid range smartphones zenye ubora kama samsung,sony,lg,htc,nk ili kuenjoy hiyo app. Mimi nimedownload katika huawei y 220 haifunguki kabisa nikaitoa. Kama alivyosema mkwawa ni ishu ya specs za simu ndio zitaamua.
Hata hivyo mbona standard app ya facebook ipo playstore? Unaitafutia playstore ipi?
 
Thanx wakuu nmewaelewa
 
Kuna watu humu wanajifanya wajuaji sana wakati hamna kitu!!
Dada yangu anatumia itel 3G imekuja na facebook na whatsapp sasa nilimuongezea instagram pamoja na ucbrowser memory ikajaa so nikaitoa ile FB na kumuwekea FB lite simu imesimama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…