RJ45
JF-Expert Member
- May 20, 2014
- 337
- 113
wasalaam wakuu!
nashindwa kutofautisha kati ya cd4 na white blood cell. je, mtu akipima damu akaambiwa white blood cells zmeshuka/kupungua inamaanisha ndo cd4 zmeshuka? je, ni sababu zipi zinapelekea kupungua kwa white blood cells? na mtu afanye nini ili kurudi katika hali ya kawaida?