Msaada: Tiba ya vitu kumbea mwilini

Msaada: Tiba ya vitu kumbea mwilini

Montania

Member
Joined
Aug 30, 2019
Posts
34
Reaction score
42
Habari za wakati Huu,
Naomba kwa mtu aliyewahi kupona tatizo la kutembelewa na vitu mwilin kama vile mkononi, mgongoni atusaidie dawa yake ni nini? Au kama kuna mtaalamu (Daktari) anayejua matibabu ya hii hali anisaidie sababu ni hali inayokera na inatokea mda wowote.

Natanguliza shukrani.
 
Polea Sana,tiba ya tatizo hili hutegemeana na chanzo chake,maana dalili hizi huweza kusababishwa na Mambo mbalimbali Kama;

1. Msongo wa mawazo (stress) au hofu ya muda mrefu
2. Magonjwa ya neva (neuropathy) mara nyingi kwa wagonjwa wa kisukari
3. Upungufu wa vitamini fulani hasa B12
4. Madhara ya dawa (hasa za presha, akili au msongo)
5. Hali ya akili kama schizophrenia, paranoia au matatizo ya usingizi
6. Ulevi wa dawa za kulevya au pombe kupita kiasi
7. Maambukizi ya ngozi (kwa baadhi ya visa, ingawa si kawaida).
Kama unahitaji msaada zaidi unaweza kunitafuta hapa
0674348222
 
Naomba kwa mtu aliyewahi kupona tatizo la kutembelewa na vitu mwilin kama vile mkononi, mgongoni ......

Hili ni tatizo la kiafya ?? 😳, Nilidhani nimeona na kusikia kila kitu.

Wajuvi mtujuze.
 
huku tunaita tambazi,dawa zipo ingawa mimi sizijui sababu nilikua nakunywa tu enzi izo naletewa na bi mkubwa.
 
Polea Sana,tiba ya tatizo hili hutegemeana na chanzo chake,maana dalili hizi huweza kusababishwa na Mambo mbalimbali Kama;

1. Msongo wa mawazo (stress) au hofu ya muda mrefu
2. Magonjwa ya neva (neuropathy) mara nyingi kwa wagonjwa wa kisukari
3. Upungufu wa vitamini fulani hasa B12
4. Madhara ya dawa (hasa za presha, akili au msongo)
5. Hali ya akili kama schizophrenia, paranoia au matatizo ya usingizi
6. Ulevi wa dawa za kulevya au pombe kupita kiasi
7. Maambukizi ya ngozi (kwa baadhi ya visa, ingawa si kawaida).
Kama unahitaji msaada zaidi unaweza kunitafuta hapa
0674348222
La muhimu ambalo umesahau ni matumizi makubwa ya caffeine... Kama anakunywa vile vienergy drink aache mara moja
 
Mkuu kwanza kapime minyooo hua inaleta Hali,kama hospital ukakutwa huna ugonjwa huo kalibu nikusaidie n mambo ya kiroho ayo, first kapime Iko kwanza nilicho kushaur kabla ujaja kwangu
 
Back
Top Bottom