Msaada Tiba ya maumbile madogo

Msaada Tiba ya maumbile madogo

Joined
Jan 26, 2022
Posts
2
Reaction score
6
Jamani ndugu zangu wana JF!

Mimi ni muhanga wa maumbile madogo, pengine ni sababu ya life style yangu wakati wa ukuaji (nazungumzia kujichua sana) kwa sasa nina miaka 26 lakini maumbile yangu ni madogo mpka naona aibu hata kuwa na mahusiano, msaada kwa yeyote anaefahamu suluhisho.
 
Nyie watoto mna shida sana. Watu tuna maumbile madogo, tumezaa watoto, nao wamezaa watoto sasa. Shida yenu nini hasa? Kila siku mnaongelea uumbaji wa Mungu na kujaribu kumsahihisha! Unataka ufanyiwe nini hasa?
Jamani ndugu zangu wana jf mimi ni muhanga wa maumbile madogo, pengine ni sababu ya life style yangu wakati wa ukuaji (nazungumzia kujichua sana) kwa sasa nina miaka 26 lakini maumbile yangu ni madogo mpka naona aibu hata kuwa na mahusiano, msaada kwa yeyote anaefahamu suluhisho
 
Kwenye hili hamna dawa ila nadhani ishu sio uume mkubwa bali uume uwe mnene tunaangalia mboo ipoje nene apo ndio mpango mzima afu ukisimamisha mbususu unaipelekea moto wa kifuuu apo itakua magoli sana suala la maumbile madogo lisikupe presha mkuu wewe simamisha mzigo peleka moto wa kifuuu!
 
Jamani ndugu zangu wana jf mimi ni muhanga wa maumbile madogo, pengine ni sababu ya life style yangu wakati wa ukuaji (nazungumzia kujichua sana) kwa sasa nina miaka 26 lakini maumbile yangu ni madogo mpka naona aibu hata kuwa na mahusiano, msaada kwa yeyote anaefahamu suluhisho
Acha kuisingizia Punyeto kwa sababu za ajabu!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom