msaada tecno w4

msaada tecno w4

Kabelwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
684
Reaction score
201
habari ndugu,kwawale ambao wanafahamu matatizo ya simu za tecno naomba msaada wa kujua tatizo la hii simu tajwa hapo juu(tecno w4),toka juzi nilipoiwasha screen imeganda hivyohivyo huwezi kufanya kitu chochote hata kuizima haviwezekani,tatizo ni nini wataalamu!
 
nimeweka picha hapo ya hiyo tecno w4
IMG_20190513_103810.jpeg
 
Bonyeza boton za pemben zote kwa pamoja, kwa sekund 30
 
Bonyeza boton za pemben zote kwa pamoja, kwa sekund 30
nimefanikiwa baada ya kubonyeza hizo baton baada ya hapo nikaenda kwenye data swipe,sasa inanielekeza nitumie WI-FI hapo ndipo nilipokwama tena.
IMG_20190513_113802.jpeg
 
Attachments

  • IMG_20190513_113802.jpeg
    IMG_20190513_113802.jpeg
    33.3 KB · Views: 24
  • IMG_20190513_113802.jpeg
    IMG_20190513_113802.jpeg
    33.3 KB · Views: 25
tatizo ni kwamba hiyo step unayoiona haionyeshi sehemu ya kuweka email yani iko hivyo unavyoiona
Mkuu si hapo wamekwambia connect to WI-FI tafuta simu nyingine washa hotspot...

Ukishakuwa na internet nd unaenda hatua inayofuata
 
Back
Top Bottom