Mtandao upiWakuu simu yangu w4 nikiwasha data connection hua inakua slow sana,katika internet yenyewe ipo normal ila tatizo ni vile nikitaka kuscroll hua inagandaganda sana.Msaada wakuu
Ngojea mkuu basi niangaliehiyo simu pengine inahitaji kuapdate system yake maana wametoa version mpya. kuupdate nenda SETTINGS, ABOUT PHONE, SYSTEM UPDATE kisha uta ona kiduarA upande wa juu kwenye kioo kulia ukikibonyeza itasearch kisha itakuonyesha version mpya inayotakiwa kuwekwa hakikisha simu yako inakuwa na chearg ya kutosha usisahau kujiunga na kifurushi kikubwa cha internet maana muda mwingine inaweza ikakata {gb 2 zitakufikisha}.....vile vile unaweza ukabadilisha laini pengine laini unayotumia eneo hilo haina nguvu kimtandao....au nenda settings, more, mobile network, prefferred network, wcdm/gsm{auto}
fanya hayo mkuu kisha lete mrejesho
mkuu mimi nimeanza kutumia tecno mwaka jana ila sijawahi kujutia kutumia simu yangu hii ya tecnoSimu ambayo bora nitumie obama yangu, sio tecno.tafuta simu ya kutumia
Endelea kuamini kaka.ila hiyo kampuni ata hucko china awazijui dubai ndio kabisa ata spare awauzi.sasa unafikiri ninimkuu mimi nimeanza kutumia tecno mwaka jana ila sijawahi kujutia kutumia simu yangu hii ya tecno
Simu ambayo bora nitumie obama yangu, sio tecno.tafuta simu ya kutumia
ingia online shopping nunua simu kwa us 100.safi kabisa sasa tDuh"Pole sana Jombaa kwa kutumia tecno*Simu inayopatikana Africa tuu"kisha huwa specifications zake ni za uwongo mtuuupu""##LoL mi napita tuu
mkuu nipe mfano wa hiyo simu ntakayopata online kwa us100?ingia online shopping nunua simu kwa us 100.safi kabisa sasa t
W4 ya juzi.c8 zote mbovu mtaani maana mlizigombania kinoma.mtafute mwenye iphone old model 4g. 4s. 5.kama ushawahi kusikia wanalialia.au Microsoft lumia.blackberry z10 , z30 .q10. Hahaaaa mnapenda kitonga baada miezi miwili simu umelichoka limechaa charge aijai.
My system is up to date mkuuhiyo simu pengine inahitaji kuapdate system yake maana wametoa version mpya. kuupdate nenda SETTINGS, ABOUT PHONE, SYSTEM UPDATE kisha uta ona kiduarA upande wa juu kwenye kioo kulia ukikibonyeza itasearch kisha itakuonyesha version mpya inayotakiwa kuwekwa hakikisha simu yako inakuwa na chearg ya kutosha usisahau kujiunga na kifurushi kikubwa cha internet maana muda mwingine inaweza ikakata {gb 2 zitakufikisha}.....vile vile unaweza ukabadilisha laini pengine laini unayotumia eneo hilo haina nguvu kimtandao....au nenda settings, more, mobile network, prefferred network, wcdm/gsm{auto}
fanya hayo mkuu kisha lete mrejesho
Unanung'unika bure mkuu.Simu nimenunua 200000 halafu inanitesa sana aisee