Ni kwamba ninasim aina ya tecno p5 ..tatizo n nimesahau pattern nimejaribu kuereset (factory reset) ..ila inakataa kutoa pattern baada ya kureset msaada plz
kama bado inasumbua hvy c uipeleke Tecno pal kariakoo wanakutengenezea bure ikiwa tuu kma hujawahi kuifungua yaani kma hilo ndo tatzo lake la kwanza na halijawahi kutokea tatzo lolote la hardware iliyokubid ufungue simu