msaada TECNO P5 BEI YA DUKANI DAR ES SALAAM

AfricaUnited

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2010
Posts
2,431
Reaction score
1,406
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu,naomba kujua bei ya tecno P.5 dukani.nipo dae es salaam kwahiyo naomba kujua kwa dar .
 
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu,naomba kujua bei ya tecno P.5 dukani.nipo dae es salaam kwahiyo naomba kujua kwa dar .

ila unaweza chukua H5 ambayo ni 140000 ambayo haina utofaut na p5 sema kwenye front camera tu
 
Hiyo H5 ya 140,000/= ndio bei ya kila mahali au DSM.... peke yake??
 
Pia muweke na picha za hizo H5 & P5 Tuzione wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…