Kuflash sim kwa STOCK ROM sahihi kunamaliza kabisa hili tatizo. Simu inakua mpyaaaaaa, nimefanya mara kadhaa na wahusika had leo wanafurahia. Muhimu utumie stockfom iliyo sahihi
naomba mwenye kujua anisaidie kuna simu ya tecno h5 ina tatzo ukizima data inajiuga kisha inaanza kudownload vitu vya ajabuajabu,betri nayo inachemka na kuisha haraka sana,ASANTENI