Msaada TECNO D3

Msaada TECNO D3

mnyansa

Member
Joined
May 19, 2013
Posts
34
Reaction score
5
Wakuu naomba msaada nahitaji kujua kama TECNO D3 ina 3G internet , maana nimejaribu kuipekua sijsona mahali pa kuchagua 3g tafadhari kwa anae3 jua naomba anijuze. asanteni
 
Nenda kwa google andika hiyo simu yako then soma specification ya network kama ipo utaiona
 
Inabid ukubal tu mapungufu ya mtoto wako,naona umekuwa mgumu kuamini kwamba hana 3G
 
hata tecno D5 haina 3g wengi wameumia sana kununua simu yenye screen kubwa na umbo zuri bila kujua mapungufu yake.
 
Back
Top Bottom