LAPUA MAGNUM 338
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 431
- 1,225
Habari wanajamvi, naomba msaada mwenye kujua kuhusu simu tecno cx inapeleka chaji kwa speed ndogo sana yan kwa nusu saa inaweza peleka asilimia 5, pamoja na kubadil charger kadhaa lakin tatizo bado, hiv tatizo linaweza kuwa ni kitu gani labda au system chaj itakua na tatizo, simu ina miezi 4.