Msaada; Tecno C9, siwezi kupiga simu kupitia phonebook

Fungua default browser ya hiyo simu utakuta Tecno forum humo unaweza kupata ufumbuzi,Pia kwakuwa simu bado iko ndani ya warrant unaweza rudisha simu uliponunua wakupe nyingine.
 
Wadau habari,
simu yangu ya Tecno C9 inatatizo sehemu ya phonebook, yaani ukibonyeza jina halifunguki,nikitaka kupiga simu mpaka niandike namba kwenye karatasi.
nenda kwenye setting backup and reset factory reset ila kabla huja fanya hivyo copy hayo majina yako maana vitu vyako vitafutika
 
Chondechonde jf hakuna uwezekano wa kuanzisha TECNO SPECIAL THREAD
matatizo ya tecno ni too much..kuna mdogo wangu tecno W3 imezima yan kachanganyikiwa!!
Nikamuuliza si huwa mnasema Samsung na Tecno sawa tu...akabaki anatoa macho tu!!
 
Hii simu ni mpya nimeinunua dukani jumamosi
Tuanzie hapa kwanza...Unajua maana ya warranty? Uliponunua hiyo simu ulipewa warranty? Kama ni ndio warudishie waliokuuzia kama wapo karibu nawe watakutatulia tatizo lako au wakala yeyote wa TECNO karibu yako.

NB: TUJIFUNZE UMUHIMU WA KUTUMIA WARRANTY ZA BIDHAA TUZONUNUA.
 
Fungua default browser ya hiyo simu utakuta Tecno forum humo unaweza kupata ufumbuzi,Pia kwakuwa simu bado iko ndani ya warrant unaweza rudisha simu uliponunua wakupe nyingine.
Asante mkuu
 
Tuanzie hapa kwanza...Unajua maana ya warranty? Uliponunua hiyo simu ulipewa warranty? Kama ni ndio warudishie waliokuuzia kama wapo karibu nawe watakutatulia tatizo lako au wakala yeyote wa TECNO karibu yako.

NB: TUJIFUNZE UMUHIMU WA KUTUMIA WARRANTY ZA BIDHAA TUZONUNUA.
Asante mkuu kwa ushauri wako
 
asanteni sana wakuu kwa ushauri wenu,nimeamua kuirudisha maana nimegundua tatizo lingine la kutoweza kukopi namba ya simu pindi ninapotaka kutuma pesa kupitia mitandao ya simu.
 
Majina umeyafungia ww mwenyewe Kipind unaanza kutumia Iyo cm cha ulivyoanza kuingza email na kuifungua kuna sehem ilikuuliza kuhusu Majina ukasema Ndio Shda ikaanza apo, cha msing Tafuta watalam zaid ninavyojua mmsio Tatzo kubwa Sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom