Msaada; Tecno C9, siwezi kupiga simu kupitia phonebook

Msaada; Tecno C9, siwezi kupiga simu kupitia phonebook

libra

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2013
Posts
301
Reaction score
121
Wadau habari,
simu yangu ya Tecno C9 inatatizo sehemu ya phonebook, yaani ukibonyeza jina halifunguki,nikitaka kupiga simu mpaka niandike namba kwenye karatasi.
 
Jaribu ku I restart.. Kama kuna setting ulifanya basi simu uanze upya
 
Ulisha save majina na namba zake kwenye hiyo phonebook yako?
 
bamiza ukutani, tatizo litaisha.
 
Cmu haina tatzo ila kuna settingz ambazo umefanya na haziko sawa cha kufanya restore simu nahc itasaidia
 
mkuu download app nyengine ya phonebook sio lazima utumie hio search neno dialer playstore then jaribu mbili tatu, ni vyema hio dialer iwe na phonebook yake
 
mkuu download app nyengine ya phonebook sio lazima utumie hio search neno dialer playstore then jaribu mbili tatu, ni vyema hio dialer iwe na phonebook yake
Mkuu asante,ngoja nijaribu
 
Back
Top Bottom