Dah yangu ilianza hivy hivyo ukitaka kuchaji ni sharti uzime ndipo ichaji, nikahangaika sana nikaenda kwa fundi akabadili mfumo wake wa kuchajia ikapona ikaanza kupoteza network.
Pole sana tekno sio watu wazuri mkuu, hapo lazima itakufa mkuu.
Miye nilikuwa tena wa Nokia, nilikuwa natumia mpk nachoka simu, mpk Leo ninayo simu C6500, yaani hizi Tecno sinunui tena.
Ngoja niitaarishie jeneza boss wangu raphae wa ureno.