Aombe Mechanical Engineering pale NIT capacity bado inahitaji watu zaidi ya 150 aweke chaguo la kwanza watamchukua tu .Ni wazo langu hilo unaweza kulitumia .Nina mdogo wangu amefaulu vizuri kiasi,
Ana division two ya 12 PCM.
aliomba Engineering UDSM ila ametemwa kwenye first and second round,
Kwenye third imebidi aombe Course nyingine kabisa.
Je kuna namna anaweza kupata zile nafasi zinazobaki kwa wanafunzi wanaoghairisha masomo (kwa pale UDSM)
kama kuna mdau anaweza nisaidie please please , hata akipata engineering chuo kingine chochote tafadhali Wakuu.
Afanye hivo kabla system haijafungwaooh thanks
Umeshaambiwa Do nothing.Jamani hivi ukiwa hukuchaguliwa then unataka uombe tena third round then ktk profile yako umeandikiwa (do nothing) ipoje hii
Means nisiombe tena? Kama ni hivyo mbona mwanzo hawakunichagua na niliqualify... Aiseee hii ni headacheUmeshaambiwa Do nothing.
Bado haijafungwa mwisho leo saa 23:59 kabla ya tar 17 october.system kumbe imefungwa jana.
Inamaanisha course ulizochagua maybe bado zina nafasi so wanafikiria kukupeleka kwenye moja ya course hizo. Ndio maana wamekwambia Do nothing.Means nisiombe tena? Kama ni hivyo mbona mwanzo hawakunichagua na niliqualify... Aiseee hii ni headache
Nashkuru... Maana walinivuruga chuo nimekosa na option ya kuapply tena haipo wanasema do nothing... So nimeelewaInamaanisha course ulizochagua maybe bado zina nafasi so wanafikiria kukupeleka kwenye moja ya course hizo. Ndio maana wamekwambia Do nothing.
Mimi kuna mtu namuangalizia ameandikiwa <b>Wait for next selection </b>
Nae course zake alizoomba hazifunguki ili afanye marekebisho... Which means hahitajiki kufanya marekebisho yoyote