juan moses
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 2,403
- 2,483
Wakuu Kwa Anayejua Hii MiFlat Screen Ya TCL Likigoma Kuwaka Unalifanyaje Au Ndo Hadi Kwa Fundi.
Maana Limegomea Hapa Tangu Jana. Inawaka Taa Nyekundu Tu.
Lilianza Kwa Kuzima Na Kuwaka Alafu Linatulia Ila Saivi Limegomea Kabisaa.
Linatia Hasira Natamani Kulipasua Hapa Jana Nimekosa Gemu Na Leo Nakosa.